July 07, 2014

10535071_343771009104638_1889276947_n

Wazungu wanasema picha huongea maneno elfu moja, hii ni kabla Diamond hajanza kugeuka kuwa sukari ya warembo na wakati huo Kiba ndio akiwa ndio talk of the town, hapa ni kabla hata mambo ya mabifu hayakuwepo, wakati mambo yalikuwa shwari kabisa..ila kwa hivi sasa bado ni ndoto kupata picha kama hii wawili hawa wakiwa pamoja
Credit by VIBE

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE