July 08, 2014


m
Mbali na kuzidi kuona nyimbo mbalimbali za wasani wanaofanya vizuri hivi sasa kutoka Bongo kama Diamond Platnumz na Ay. Vanessa mdee ameonekana aki-make headlines kwenye stesheni ya kimataifa ya Channel O, Vanessa this time haji tu kama msanii, bali akiwa anahojiwa kama mmoja wa msanii maarufu anayekuja kwa kasi barani Africa, Mkali huyu wa video ya Come Over inayo hit hapa town, ameanza kutambulika rasmi katika stesheni hiyo na kuzidi kufanya tzee iongeze vichwa zaidi vinavyopigwa katika stesheni hiyo, hiki ni kipande cha section ya introducing cha Channel O, ambapo utamuona Vanessa Mdee akifanya yake.
Screen Shot 2014-06-23 at 4.39

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE