July 31, 2014

Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu ametaja sababu zinazomfanya aingie katika mgogoro na mama yake mzazi, Miriam Sepetu kuwa ni suala la uchumba wake na Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambao alikuwa akiupinga mara kwa mara.
Akiongea  na  mwandishi, Wema alisema kwa muda mrefu alikuwa akitofautiana kauli na mama yake katika suala zima la uhusiano wake na Diamond lakini anamshukuru Mungu amemuelewa na sasa kila kitu kinakwenda sawa.
“Mama nilikuwa nikimsihi sana juu ya uchumba wangu na Diamond lakini sasa tumefikia hatua nzuri namshukuru Mungu amekubali, maana siku hizi nikionana naye ananiuliza vipi mwenzako mzima, anaendeleaje, wakati mwanzoni haikuwa hivyo,” alisema Wema huku akiahidi kumkutanisha Diamond na mama yake.

Related Posts:

  • Diamond anakukaribisha katika uzinduzi wa Perfume yake    Lile tukio kubwa lililokuwa likisubiliwa kwa hamu kubwa sana juu ya mwanamuziki Diamond kuzindua Perfume yake litafanyika kesho . zaidi soma hapa alichokiandika Diamond   Tomorrow will be officially l… Read More
  • New Video: P-Square - Nobody   Kutoka nchini Nigeria P-Square wametuletea video mpya kabisa inaitwa, Nobody. Video ipo hapa chini waweza kuitazama na kudownload sasa kupitia Youtube.          &nbs… Read More
  • CUF wazichapa kavukavu mbele ya wana Habari    Watu wasiojulikana wakiwa na bastola wamevamia mkutano wa wanachama wa CUF ambao wanamuunga mkono, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad na kuwapiga wanachama wa CUF pamoja na waandishi wa habari … Read More
  • Rasmi,bDiamond Azindua Perfume yake ya Chibu Diamond Platnumz leo mchana amezindua rasmi perfume yake ya Chibu Perfume, hatua ambayo ni ya kihistoria. Perfume hiyo yenye asili kutokea Dubai itauzwa kiasi cha Tsh 105,000. Diamond alisema “Inaaminika kuwa Dubai ndi… Read More
  • NMB Bank yazindua kituo cha biashara Kahama       Benki ya NMB Tanzania imezindua rasmi kituo cha biashara mjini Kahama (Kahama Business Centre) ambacho kitakuwa kikitoa huduma kwa wananchi wa kanda ya ziwa ikijumuisha mikoa mitatu ya Shinyanga, … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE