Mwanamuziki mwenye Rable toka Tongwe Records ROMA mkatoliki kama utakumbuka vizuri, katika fainali za Kombe la Dunia zilizofanyika nchini Brazil alisema endapo timu ya Brazil ingefungwa dhidi ya ujerumani basi angetoka Tongwe Records ambapo anafanya kazi zake na kuahidi kuamia Sharobaro Record kwa Bob Jr ambapo watu wengu huamini kwamba ni studio ambayo watu wa Hip Hop huwa hawanya kazi kutokana na hitikadi za studio hiyo. Sasa hapa msanii ROMA ameamua kufanya kazi na Producer huyo bwana Bob JR katika studio hizo za Sharobaro Records. Swali je ROMA ameamua kutimiza ahadi???
August 12, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment