
Kenny akiwa studio
Baada ya ngoma yake ya kwanza ya One and Only kumtambulisha vizuri sana katika anga ya muziki, mkali wa R $ B toka mkoani Morogoro Kenny Kennie safari hii ameamua kukaza uzi na kumtafuta msanii mkongwe Petter Nsechu na kufanya naye kazi ya pamoja.
Akizungumza na ubalozini.blogspot.com Kenny amesema kwa kuwa mziki wa sasa upo kiushindani sana hivyo ameamua kukaza ili ku wapa mashabiki wake kile kilicho bora.
Kazi hiyo imefanyika chini ya Producer Vennt wa kwanza Records za mjini Morogoro
0 MAONI YAKO:
Post a Comment