Manchester united
Penati ya Steven Gerrard
iliwafanya Liverpool kuongoza japo kuwa ushindi huo haukudumu baada ya
Wayne Rooney, Juan Mata and Jesse Lingard kuzamisha matumaini ya
Liverpool.
Zaidi ya watazamaji 50,000 walijazana katika
uwanja huo wa Sun Life Stadium nyumbani kwa NFL Miami Dolphins
kushuhudia fainali za michuano hiyo ya ya kimataifa ya Champion.Kiungo wa Liverpool Gerrard mnamo dakika ya 14 alichokoza nyuki ndani yamzinga pale alipofanikiwa kumhada mlinzi Phil Jones na kisha kufung bao la kwanza.
Hata hivyo Rooney akiwa pia ndiye kaptian wa man united mnamo dakika ya 55 alisawazisha bao hilo baada ambapo Javier Hernandez cross akapachika bao la pili na dakika mbili baadae Mata akapigilia msumari wa moto kwa kupachika bao la tatu.
Rooney aliyeng’ara katika mashindano hayo ametajwa na Van Gaal kuwa ndiye mshambuliaji bora wa England.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment