August 31, 2014

Nyumbani park &samaki spot..Wanakuletea
NYAMA CHOMA FAMILY BONANZA Jumapili hii 31/8/2014
Kuanzia saa 11:00 asubuh....live band sembuche atalianzisha mapema asubuh..jioni ni disco kali..chini ya dj jimmy lover..guest dj john peter pantalakis..fast eddie...sweet coffee....ni oldz, old skoolz, flash back and many more...hakuna kiingilio wewe ni kuja tu kushuhudia na kujipatia huduma husika kwa sababu majiko yote ya nyama mjini yatahamia Nyumbani Park siku hiyo. Kutakuwa na zawadi ya pesa kwa mshindi wa kuchoma nyama kali, Supu ya pweza itahusika pia, lakini hayo yote yakiendelea huku ukipata kiburudisho cha Pepsi ...wote mnakaribishwa... Hii n i kwa udhamini wa PEPSI, NYUMBANI PARK $ SAMAKI SPORT, Unangoja nini sasa????????

Related Posts:

  • Bank ya NBC yatoa misaada kwa Albino Mkuu Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Mussa Jallow (wa tano kulia) akikabidhi msaada wa pikipiki kwa Mwenyekiti wa Chama cha Albino Tanzania Mkoa wa Pwani, Thomas Diwani Mponda katika hafla amba… Read More
  • Hiki ndiyo chanzo cha kifo cha Abdu BongeSaa zinahesabika toka Tanzania na familia ya bongofleva ipokee taarifa za msiba wa Abdul Bonge Mwanzilishi wa kundi maarufu la Bongofleva Tiptop Connection lenye wanachama kama Tunda Man, Madee, Dogo Janja na wengine waliopit… Read More
  • Uraisi 2015, utafiti unaonesha ni Lowassa tu Taasisi isiyo ya kiserikali ya Positive Thinkers Tanzania imetoa ripoti yake ya utafiti kuhusu mwanasiasa anayekubalika zaidi na wananchi katika nafasi ya Rais ajaye.   Lowassa aongoza na nafasi ya 2 imeenda kwa Dr. Wil… Read More
  • 15wakamatwa kwa kula njama na kutaka kumtorosha Gwajima HospitaliJeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TM… Read More
  • Hii inamuhusu yule akari aliyekutwa na fedha bandia Jeshi la Magereza nchini limemfukuza  kazi askari wake wa Gereza Bariadi, Mkoani Shinyanga (pichani) kwa kosa la kupatikana na fadha za bandia kinyume na Sheria za Nchi. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa jana Mach… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE