Kama ilivyo kwa Serengeti Dance la Fiesta,upande wa Serengeti Super Nyota Divaz mkoa wa Tanga mshindi aliyepatikana anaitwa Sabrina Khamis,ambapo wasichana waliojitokeza kwa mkoa wa Tanga kwenye mashindano haya walikua 10.
TAWA YAKABIDHI BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI MCHENGERWA, RUFIJI
-
Na Beatus Maganja, Rufiji, Pwani.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi rasmi bweni
jipya la wasichana katika Shule ya Sekondari...
2 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment