August 24, 2014

 
Mshindi wa Serengeti Super nyota 2013, Edo Boy akifungua burudani. 
Young killer akikonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo.…
 
Mshindi wa Serengeti Super nyota 2013, Edo Boy akifungua burudani. 
Young killer akikonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo.
 
 Mr. Blue akiwapagawisha washabiki
. 
Recho akitumbuiza katika Tamasha la Fiesta mkoani Tanga. 
 Tunda Man naye akifanya yake.
 
Khadija Maumivu akifanya maajabu jukwaani. 
Shabiki akimkubali jux kwa shoo aliyoionyesha....Linnah naye akilishambulia jukwaa.
 
Ruge akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta. 
Ruge akizungumza jambo na Mkuu wa Wilaya, Halima Omar Dendegu (kulia).
...
Ni MO Music ndani ya usiku wa Tamasha la Fiesta mjini Tanga. 
Msanii wa Bongo Muvi Kajala akifuatilia shoo kwa karibu zaidi. 
 Linnah akiwa na wanenguaji wake
. 
Ommy Dimpoz akiwajibika mbele ya mashabiki zake..
Mdee kwa stage 

 
 
Washindi wa Dance la Fiesta wakikabidhiwa zawadi Sh. milioni moja na Mkuu wa Wilaya, Halima Omar Dendegu.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE