Marehemu Jaji Mstaafu Lewis Makame enzi za uhai wake.
Nyumbani kwa marehemu eneo la Masaki, Dar es Salaam.…
Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino Ramadhani, akitoa utaratibu wa mazishi ya Makame.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu.
Ndugu na jamaa wakiwa msibani.
Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa New Habari Cooperation, Absalom Kibanda, akiwa na Agustino Ramadhani nyumbani Makame.
MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
(NEC), Jaji Mstaafu, Lewis Makame, utaagwa siku ya Ijumaa asubuhi
nyumbani kwake Masaki, na baadaye kupelekwa katika kanisa la Mtakatifu
Alban, Upanga, jijini Dar es Salaam kwa maombi na kisha kusafirishwa
kuelekea Pongwe, Mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi.
(Picha / Habari: Gabriel Ngosha na Haruni Sanchawa/GPL)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment