
Calvin Ponel aka Zombi Prezdaa
Mtangazaji maarufu mkoani Morogoro toka Planet Fm ya mjini Morogoro, mc na mwimbaji wa muziki wa Bongo Freva Calvin Ponnel aka Zombi prezdaa, jambazi MC Calvi amesikitishwa na kifo cha mzazi mwenzie na Afande Sele mama Tunda.

MC Calvin ambaye kwa sasa ndiye mtangazaji mwenye swaggs mkoanai hapa amesema alizipokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo chamama Tunda
"Mimi
binafsi kiukweli nilizipokea kwa huzuni kubwa sana taarifa hizi za dada
yangu kipenzi mama tunda coz ni siku km nne nilikutana nae mitaa ya
samaki spot bima tulipiga sana mastoree mara mi nikasepa katika
miangaiko yako yangu ya kila siku hukoooo turiani ktk show nilikua na
At, Snura Y tonny na Msaga Sumu nikiwa huko mara asubuhi nikaanza pata
sms kiba toka huku na kule kupitia whas app phone ,fb nk sio siri
nilishtuka sana na kiukweli sikuamini kabisa taarifa hii maana
nilishazowea mkoa wetu huu wa morogoro ua tuna katabia ka luzushiana
vifo uongo kashfa nk bas kwanza nikala bati ili niulizie watu wangu
ndipo nikaanza peleleza taratibu kwa kila mtu ajabu nikashangaa kila
nimuulizae anasema hajui badi mi nikapotezea lakini ilipo fika mida ya
saa nne asubuhi tu ndipo habari zikaanza sambaa basi fasta nikawspigia
cm timu yangu ya mjengoni planet fm ili tufuatilie haraka habari hizi
ili tuhakikishe km ni za kweli ili haraka tuwatangazie wana jamii wote
waweze fahamu kwa haraka .....kingine namshauri kaka mkubwa apunguze
msongo wa mawazo na badala yake amuombe na kumtegemea sana mungu kwa
kila jambo napia amtangulize sana mungu katika kila jambo na watoto
awafariji na kua nao karibu wakati wote kwani kazi yake mola haina
makosa sababu akiamua lolote allah apingwi na kitu chochote coz sisi
sote ni mali yake ki ukweli tulimpenda sana ndugu yetu kipenzi sana tena
zaidi ya sana lakini mwenye mali zake ndio ivyo tena kampenda zaidi mi
nadhani uzuni kilio na simanzi aachane navyo na kisha amgeukie sana
mungu naamini kwa neema ya bwana yote yatakwisha ......namaliza kwa
kusema ...ewe mwenyezi mungu muumbaji wa mbingu dunia na kila kitu
nakuomba umuongoze kaka yangu suleiman msindi katika kipindi hiki kigumu
cha mpito na uilaze roho ya dada yetu kipenzi mama tunda mahala pema
peponi ...ameen......!
Amesema Zombi (baba Naomi) ambaye pia hufanya kazi na mashirika mbalimbali kama Faraja Trust Fund,Youth Challenge International ya Canada pamoja na Makoti Edwin wakiwa kama real sldier kundi la vijana shupavu
Mungu ailaze roho ya mama Tunda mahala pema peponi...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment