Aliyekuwa Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Nyerere.
Rais
wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere'
ametangaza kujiuzulu cheo hicho kupitia ukurasa wake wa instagram.
Amedai kuna mpango mbaya dhidi yake hivyo akaona bora ajiengue pasipo
kufafanua zaidi.
Mbibo ahimiza maadili kwa watumishi wa Wizara Madini
-
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo amewataka watendaji na
watumishi wa Wizara...
The post Mbibo ahimiza maadili kwa watumishi wa Wizara ...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment