List kamili ya washindi wa Tuzo za Grammy 2015
Usiku wa kuamkia leo hii 9/01/2015 zimefanyika tuzo za 57 za Grammy
ambapo mwanamziki Sam Smith amewagaragaza wengine wote baada ya kuondoka
na tuzo nne ikiwemo Record of the Year, Song of
the Year, B…Read More
Kesi ya Al Jazeera Misri yarejelewaWakuu wa mahakama nchini Misri wamesema kuwa marudio ya kesi ya waandishi habari wawili wa Al Jazeera yataanza Alhamisi.
Mohamed Fahmy na Baher Mohamed walikutikana na hatia ya kusaidia chama cha Muslim Brotherhood kilichopig…Read More
Ajira toka Clouds fm hii hapa sasa
Baada ya Meneja Rasilimali Watu wa Clouds Bw Kitoi, kuipa likizo Idara ya Muziki kwa siku kadhaa, sasa ni muda wako wewe mdau wa Clouds Fm kula shavu la nguvu kwa kutuma PLYLIST yako kali ya nyimbo 15 za #…Read More
Ally Kiba, Chriss Brown mambo safi, sasa kufanya kazi pamoja
Uongozi wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris
Brown umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii
kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya uongozi wa Kam…Read More
Sam Smith awa mshindi wa tuzo za GrammysMwanamuziki raia wa Uingereza Sam Smith ameshinda tuzo mbili za Grammys zilizofanyika Los Angles Marekani.
Smith ametangazwa mshindi wa kwanza ambapo kupitia wimbo wake wa In The Lonely Hour ulimfanya aibuke mshinndi wa miond…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment