September 09, 2014

 



KING Mswati Mfalme wa Swaziland amefikisha wake kumi na nne 14 baada ya juzi jumatatu kumchagua mke mwingine mwenye umri wa miaka 19 masharti ya mwanamke anaetakiwa kuchaguliwa ni sharti awe bikra.

Takribani wasichana 80,000 walipita mbele ya wageni wa heshima 46 ambapo na mfalme alikuwa ameketi mbele akiwa kaketi na malkia aliechaguliwa mwaka jana LaFogiyane Baadhi ya wasichana wanakimbia katika taifa hilo kutokana na sheria hizo.

Wasichana hao hupita wakiwa nusu uchi ndipo mfalme anachagua mke wake kafikisha wake 14

Related Posts:

  • Video| Dayna Nyange - Angejua   Official Video ya msanii DAYNA NYANGE. Wimbo unaitwa ANGEJUA, audio imetengenezwa FREE NATION Producer ni MR T-TOUCH. Video imefanywa na KWETU STUDIOS, Directed by Msafiri Shabani. Itazame hapa chini kisha toa… Read More
  • Mwanafunzi Mtanzania avuliwa nguo India   Mwanafunzi Mtanzania alishambuliwa na kuvuliwa nguo na umati uliokuwa na hamaki katika jiji la Bangalore, kusini mwa India. Alishambuliwa baada ya gari la mwanafunzi kutoka Sudan kumgonga na kumuua mwanamke mmoja … Read More
  • Ndege yatoboka shimo la kushangaza Ndege hiyo ililazimika kutua muda mfupi baada ya kupaa Ndege ya kubeba abiria imetua kwa dharura katika uwanja wa ndege mjini Mogadishu, Somalia ikiwa na shimo kubwa kwenye kiunzi chake. Shimo hilo kwenye ndege hiyo lilitobo… Read More
  • Halima Mdee " hii biashara ya raisi hatajwi iachwe"                           Mbunge wa Kawe jijini Dar es Salaam, Halima James Mdee, jana amezua… Read More
  • New Audio| Ben Poul & Msechu - Ntota ya Sambo   Dar es Salaam, Tanzania – February 3, 2016 - Tanzania's Best Vocalists of all time Ben Pol & Peter Msechu have teamed up to release an amazing mash-up collaboration ‘NYOTA YA SAMBOIRA’ as a pre-Valentine's … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE