Ni moja ya wimbo ambao ukiuskiliza hutatamani kuacha kuuskia, kutokana na mashairi ya wimbo wake na aina ya mziki alioutumi. Wimbo umefanyika katika studio za AM Records za jijini Dar Es salaam na mtayarishaji nguli wa muziki nchini Manecky
sikiliza na download hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment