Kufuatia mabadiliko ya masafa mbalimbali ya radio za hapa nchi, sasa kwa wakazi wa Morogoro mnaipata Clouds Fm kupitia 88.7 FM badala ya ile ya mwanzo ya 88.5. Hii ni kutokana na mabadiliko yaliyofanywa na TCRA. Wakazi wa Tanga mnaipta kupitia 96.1 badala ya 96.0 Fm. Endelea kusikiliza Clouds Fm kwa masafa ya hapo ulipo.
October 06, 2014
3:45 AM
Machaku
No comments
Related Posts:
Mwanzilishi wa kundi la Backstreet Boys afariki akiwa gerezani Mwanzishi wa makundi maarufu la muziki duniani, Backstreet Boys, NSync na mengine Lou Pearlman amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 62. Lou Pearlman ambaye atakumbukwa kwa kuibua vipaji vya watu wengi, … Read More
Taarifa ya Polisi Dar kuhusu wanaojihusisha na ‘UKUTA’ Licha ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutangaza kufanya maandamano ya nchi nzima Septembe 1 2016, Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es salaam limemkamata mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Yoram Mbye… Read More
Video: Maalim Seif akizungumzia kuhusu Prof. Lipumba kujiuzulu CUF. Leo hii August 21, Chama cha Wananchi CUF kimefanya mkutano wake wa kujaza nafasi mbalimbali zilizoachwa wazi ikiwapo nafasi ya mwenyekiti wa Chama hicho Taifa. Katika mengi yaliyozungumzwa katibu mkuu wa Chama hic… Read More
Taarifa Ya Awali Ya Chama Cha CUF Juu Ya Vurugu Zilizotokea Jana Wakati wa Mkutano wa Kumchagua Mwenyekiti Mpya wa Chama Hicho Jana tarehe 21/8/2016 chama cha wananchi cuf kilifanya mkutano mkuu maalumu wa taifa katika ukumbi wa hotel ya blue pearl –ubungo plaza, dar es salaam. Chama cha cuf kinapenda kutoa taarifa rasmi za aw… Read More
UVCCM kufanya maandamano Agosti 31. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wanatarajia kufanya maandamano ya Amani Agosti 31 kwa ajili ya kueleza utendaji kazi wa Rais Dk.John Pombe Magufuli kwa Watanzania. Akizungumza na waandishi wa haba… Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment