
Kufuatia Kupakuliwa sana kwa wimbo mpya wa Mwana FA & Ally Kiba kupitia Mkito.com, hii ndiyo taarifa kutoka katika mtandao huwo uliojibebea umaarufu mkubwa hapa nchini kufuatia kusimamia kazi za wasanii wa hapa nchini ili wapate manufaa na nyimbo zao.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment