October 03, 2014

   Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 linaloendelea na ziara yake mikoa mbalimbali, hatimaye limetia tim mjini Singida ambapo leo hii ndani ya uwanja wa Namfua wakazi wa Singida watakata kiu yao waliyoisubiri kwa mwaka mzima sasa. Katika stage ya Serengeti Fiesta List kamili ndiyo hiyo ambayo pia Jumapili siku ya Eid wakazi wa 104.4 Dodoma wapata Fursa hiyo ndani ya Jamhuri Stadium. Show zote hizo ni kwa kiingilio cha TSH: 5000/=. Twndeni wote tukasambaze upendo

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE