October 09, 2014

 
 Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu katika game. Yule mkali wa Mr politician, Nakaaya Sumari ameachia vido yake mpya inayoitwa Blessing. 
 Nakaaya ambae pia ni mama wa mtoto mmoja alietimiza mwaka mmoja siku chache zilizopita alirudi kwenye muziki baada ya kujifungua na kutoa single ya kwanza iitwayo ‘blessing‘ ambayo ni dedication pia kwa mwanae.
TAZAMA HAPA CHINI
          

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE