November 20, 2014

                                
Chameleone amesema kuwa application ya Mziki ambayo Diamond ni balozi wake wa Tanzania ipo kwenye mazungumzo naye ili kumfanya balozi wake wa Uganda na hivyo ilimuomba afanye wimbo na Diamond kama anthem ya Afrika Mashariki.

“Lakini we talked about business na hatujamalizana nao. Lakini sio eti mimi nimempigia (Diamond) kumuomba tufanye collabo na kitu kama hicho,” amesema Chameleone. “Wale wa Mziiki app ndo wanahitaji mimi na yeye tufanye kazi ya anthem ya Mziiki App. Wanajaribu kuunganisha yeye na mimi tufanye collaboration lakini sio eti mimi nimemu whatsapp na nimemuomba collaboration , that’s not right,

Related Posts:

  • Makonda awachana Watanzania kupitia Ommy Dimpoz Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda amekerwa na baadhi ya tabia za Watanzania za kupenda kutangaza habari mbaya tu za vifo na sio zile nzuri kwa kudai kuwa huo ni unafiki.RC Makonda akimtolea mfano msani… Read More
  • Ya Levis kaja tena na Dis Lui Yule mkali wa muziki aliyezaliwa Congo na kufanya maisha yake nchini Ufaransa Ya Levi, baada ya kutamba na ngoma zake kama Katchua, Libaba, Elle ne veut pas, sasa ameachia wimbo wake mpya kabisa unaitwa Dis Lui. Video … Read More
  • Mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram majanga matupu Mtandao wa kijamii wa Facebook kwa sasa inakumbwa na hali mbaya zaidi ya mawasiliano kuwahi kutokea katika historia yake kwani huduma nyingi hazipatikani kote ulimwenguni. “Tunafahamu kuwa baadhi ya watu hawana hawawezi… Read More
  • Bad News CHADEMA , Mbunge wao avuliwa ubunge leo hii   Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amemuandikia barua Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semistocles Kaijage kumtaarifu kuwa jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Mbunge Joshua Nassari (CHA… Read More
  • Tundu Lissu ame tweet haya siku yas jana   Walikuwepo akina Joseph Goebbels, Josef Mengele (angel of death) ,Hermann Goring walioamini katika kuua ili kumlinda Mungu wao Adolf Hitler lakini waliishia kusikojulikana. Sitishwi, sitatishika na kikubwa zai… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE