Huu ni mfano wa Gari la Kikosi cha Zimamoto.
Taarifa zilizotufikia ni kuhusu tukio la ajali ya moto Dar es salaam.
Kupitia kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds,mtangazaji Adam
Mchomvu ametoa taarifa kuhusiana na jali ya moto iliyotokea katika jengo
la Machinga Complex lililopo Ilala, Dar es saalam
Chanzo cha moto huo mpaka sasa hakijafahamika na tunaendelea
kufuatilia ili kukupa taarifa zaidi na hizi ni baadhi ya picha za tukio
hilo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment