November 14, 2014

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza la msanii Mabovu kutoka msikiti wa Mwangata kwenda makaburi ya Mlolo Iringa siku ya jana.
 
 
 
 
Msafara wa magari kuelekea makaburini.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Mwili wa marehemu Mabovu ukiwekwa sawa kabla ya kuzikwa siku ya jana.
Waombolezaji wakiuzika mwili wa Mabovu.
Msanii Joh Makini akiwa katika mazishi.
Wasanii mbalimbali wakiwa katika mazishi ya mabovu jana.
Bashiri akiongelea kifo cha Mabovu.
Watangazaji wa Radio Ebony Fm waliofika katika mazishi hayo jana.
Msanii Nurdin (kushoto) akiwa na Geofrey Ngelime  wakati wa mazishi ya Mabovu.
Marafiki wa marehemu Mabovu wakiwa katika picha mara baada ya mazishi mwenye nguo nyekundi ni mtangazaji wa Ebony Fm Edo Bashiri, msanii DJ Nacy (wa tatu kulia) ni na msanii Nurdin.
Marafiki na wasanii mbali mbali wakiweka chata zao katika kaburi ya Mabovu.
Wasanii wakiwa wamechora chata mbali mbali juu ya kaburi la Mabovu.


Baadhi ya  wasanii wa kundi la Weusi ambao  wamefika  Iringa kumzika msanii Mabovu jana.
Rapper Joh Makini akichangisha rambi rambi.
(PICHA NA FRANCIS GODWIN)


Related Posts:

  • WANAFUNZI UDOM WAFIKISHWA MAHAKAMANI LEO     Baadhi ya Wanafunzi 84 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa chini ya ulinzi kwa tuhuma za kuhamasisha uvunjifu wa amani Chuoni hapo na kufanya maandamano . Wanafunzi 84 wa programu maalum ya stashahad… Read More
  • HUU NDIYO MPANGO MPYA WA THT 2015            Imezoeleka Tanzania House of Tallent (THT) imekua ikitoa wasanii peke yake ambao asilimia kubwa ya wasanii wengi wa Bongo Fleva wamepitia kwenye mikono ya Nyum… Read More
  • ESCROW YAWAFIKISHA WENGINE MAHAKAMANI LEO HII   MZIMU wa sakata la akaunti ya Tegeta Escrow, limeendelea kuwatafuna watuhumiwa  wa uchotwaji wa  mabilioni ya fedha za akaunti hiyo baada ya watuhumiwa wengine watatu kupandishwa mchana wa leo kizimban… Read More
  • MWANA BLOG HOI KWA KIPIGO Mwanablogu Raif Badawi ana majeraha ambayo hayawezi kumruhusu kupewa adhabu nyingine  Saudi Arabia imeahirisha adhabu ya kumchapa viboko mwanablogu Raif Badawi kwa sababu ya afya yake. Mwanablogu huyo ambaye pia ni… Read More
  • MAMA AMCHARANGA VIWEMBE MWANAE WA KUMZAA Mama mzazi aliyetajwa kwa jina la Feromena, mkazi wa Meko-Mtongani, Kunduchi jijini Dar, anatuhumiwa kumcharanga viwembe mwanaye wa kumzaa aliyetajwa kwa jina moja la Zena mwenye umri wa miaka kumi Kwa upande wake mama … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE