Baada ya wewe kuwa na hamu kubw ya kuhitaji kujua nini kitafanyika ndani ya Video ya Msodoki Young Killer ft Fid Q & Belle 9 wimbo unaoitwa 13 sasa kiu yako hiyo imekatwa hapa
Wafanyakazi shirika la misaada watekwa Congo Wafanyakazi watatu wa shirika la misaada la Save the Children wametekwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huku ukosefu wa usalama ukizidi kutatiza juhudi za misaada ya kibinaadamu kwenye eneo hilo.
IpoWafa…Read More
Jamii Forum wajitosa Sheria ya Makosa ya Mtandao
Septemba Mosi, 2015 Tanzania ilianza kutumia sheria ya Makosa ya Mtandao licha ya kuwepo kwa mvutano na malalamiko kutoka kwa wananchi wanaotumia mitandao hiyo kwamba hawakushirikishwa kuijadili na kui…Read More
Kilichomuua mwanawe Whitney Houston hiki hapa
Mwanawe mwimbaji maarufu marehemu
Whitney Houston alifariki baada ya kuzama majini pamoja na ulevi wa dawa
za kulevya ,ripoti ya matibabu imebaini.
Marehemu Bobbi Kristina
aliyekuwa na umri wa miaka 22 alif…Read More
Maalim Seif awasili Zanzibar leo hii
Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad,
amewasili Zanzibar alasiri YA LEO akitokea nchini India na Oman.
Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege alilakiwa na viongozi kadhaa wa CUF
na b…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment