Joseph Nyuki
Mwanam,uziki wa nyimbo za Injiri toka Dar es Salaam Joseph Nyuki, amepiga saluti katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Morogoro akisambaza albam yake ya PIGA SALUTI.
Akiwa na tim yake katika safari hiyo Nyuki amewataka wakazi wa Morogoro kununua nakala halisi na kuacha tabia ya kununua nakala zilizochakachuliwa kwa ajili ya ubora na maslahi kwa wasanii.
Mmoja ya timu ya Nyuki akiuza CD za Msanii huyo huku akiwa na kundi la watu
Kwa upande wao wakazi wa Morogoro wamesema ni vyema wasanii na wadau kwa jumla wakihakikisha haki za wasanii zinasimamiwa vilivyo kwani maisha ya wasanii wengi yamekuwa tofauti na sifa zao
0 MAONI YAKO:
Post a Comment