
Mziwanda akijiandaa kumvisha pete ya uchumba mkewe mtarajiwa Shilole
Hafla hiyo ndogo ilihudhuriwa na mastaa kidhaa akiwemo aliyekuwa Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere, Shetta, Martin kadinda, Millard Ayo pamoja na jamaa wa karibu wa wapendanao hao ambao walikuwa mashuhuda wa tukio zima la kuvishana pete.

Shishi baby akionyesha pete ya uchumba aliyovishwa

Baada
ya tendo zima la kuvishana pete, kilichofuata kilikuwa ni kukata keki
ya birthday aliyoandaliwa Shilole katika siku yake hiyo maalum

shilole akifungua Champagne

Mtangazaji wa Clouds fm, Millard Ayo akimhoji Mziwanda
0 MAONI YAKO:
Post a Comment