December 01, 2014

 
 New Maisha Club Re-Launch Party ndani Ya Moro town, Ni siku ya Alhamisi ya tarehe 04/12/2014...
Eneo la mtawala karibu na hood Bus Service.
Kwa kiingilio cha 7,000/= kwa Gents
Na kwa ladies ni Bure... Kila alhamis ni ladies free.
Super Djs: dvjhunter, @deejaygodo Na surprise dj zakumwaga, huku @hkhyper02 akipiga hype ya ukweli
Usikose hii mtu wangu ni bonge ya Fursa kwako mkazi wa Morogoro na Viunga vyake

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE