Na hapa sasa baada ya wewe kuisubiri kwa hamu kubwa sana hii Video ya Amini ya Mbeleko, Vocalist huyo Amini Mwinymkuu anakupa fursa ya kuitazama video hiyo yenye ubora wa hali ya juu kabisa, baada ya Kuitazama weka Comment yako hapa kwani baadaye Amini atapita kujua nini unaizungumzia Video hiyo.
Ruge Mutahaba afunguka ujio wa Babu Seya na mwanaye
Mkurugenzi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba, amefunguka leo hii kuhusu ujio wa Wimbo mpya wa Papii kocha na Baba yake mzee nguza. Akizungumza na xxl ya CLouds Fm, ndugu Ruge pia amezungumzia kuhusu show ya …Read More
Masogange kuhukumiwa February 21
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Februari 21, 2018 itatoa hukumu katika kesi ya kutumia dawa za kulevya
inayomkabili Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’.
Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa
na Hakimu Mkazi Mkuu, …Read More
Rungwe" Msikubali Mtulia Awe Mbunge wenu"
Mwenyekiti wa Chaumma, Hashim Rungwe Spunda ameungana na Chadema kumnadi
mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni, Salumu Mwalimu na kuwaomba wananchi
wampigie kula akidai kuwa mgombea wa CCM ni msaliti na hawapaswi
kumchagua.…Read More
"Huyu mlemavu wa miguu ndiye Muuaji"Mambosasa
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa
amefunguka na kusema mtu huyu ambaye ni mlemavu wa miguu ambaye
amekamatwa na polisi ndiye anauwa Watanzania mbalimbali jijini Dar es
Salaam kwa madawa …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment