Mwana muziki Vanessa Mdee Veemoney hapa anakupa ruhusa ya kuitazama video yake mpya ya Hamjui, iliyofanyika kwa viwango vya juu sana. hii ni miungoni mwa video zitakazoleta mageuzi makubwa sana ya soko la muziki wetu
JINSI SIMU YA MKONONI INAVYOSAIDIA WAGONJWA WA KISUKARI
Kwa mara ya kwanza wagonjwa wa kisukari nchini Senegal wameanza
kupokea ujumbe wa simu ukiwataka kufunga kwa kipindi cha kabla, wakati
na baada ya mwezi wa Ramadhan.
Senegal imekuwa nchi ya kwanza kuanza kutumia …Read More
OLIVER MTUKUZI SASA NI DAKTARI
Mwanamziki mkongwe wa kimataifa nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi
ametunukiwa tuzo ya tatu iliyobeba heshima ya udaktari kutokana na kuwa
mshauri na balozi mzuri wa muziki.
Mwaka 2003 alitunukiwa tuzo kubwa ya hesh…Read More
FREEMASON WATOA TAMKO KUHUSU MWISHO WA DUNI. SOMA HAPA
WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa
sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya
wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment