
Ukiiskia sauti ya leo ya Ray c huwezi kumtofautisha kabisa na Ray c yule wa kitambo, sauti ile ile na swaga zile zile. Hapa anakwambia Mshum mshum. Huu niwimbo wake wa kwanza tangu aamue kurudi katika game baada ya kukaa kando kwa muda sasa.
SKILIZA HAPA
0 MAONI YAKO:
Post a Comment