
Hapa akiwa ndani ya Clouds Medi leo hii
Umekuwa ni Utaratibu wangu Kila ninapoadhimisha tarehe ya
Kuzaliwa,Hutumia siku hiyo kutembelea Hospitali au Watoto Yatima.Hii leo
ikiwa ni siku yangu ya Kuzaliwa(Miaka 40),Nimetembelea Hospitali ya
Mwananyamala-Wodi ya wazazi(Watoto) kuwasalimia,Nimetembelea Kituo cha
Watoto Yatima cha CHAKUWAMA kuwasalimia,Pia nimechangia Damu kwaajili ya
Kusaidia ndugu zetu.Ahsanteni sana



Hapa akimfariji mama aliyelazwa na mtoto




0 MAONI YAKO:
Post a Comment