Leo mapema katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm,mwana
mitindo wa kimataifa Flaviana Matata ameamua kuungana na wa Tanzania
ili kusaidia kuinua sekta ya elimu nchini kupitia kampeni yake ya MATATA FOUNDATION anayo isimamia..Takribani miaka kadhaa sasa tangu aianzishe kampeni hiyo kwa dhamiara kubwa kabisa...
Kampeni hiyo
ya Flaviana Matata Foundation ameanzishwa lengo kuu ni kukuza elimu ya
wa Tanzania kwa kuchangia vifaa mbali mbali vya elimu ikiwemo
madaftari,kalamu, madawati pamoja na nyenzo zote zitakzo mnyanyua
mwanafunzi kutoka sehemu duni aliyopo.
Baada ya
kuhojiwa juu ya harakati zake alisema watanzania tukisimama kwa pamoja
tunaweza kwa kuhakikisha suala zima la elimu linakua kwa kasi kwa
kuondokana na vikwazo wanavyo kumbana navyo wanafunzi hao.Pia katika
zunguka yake za uchangiaji katika suala zima la elimu alikutana na shule
iliyopo wilaya ya BAGAMOYO amabayo ki mazingira haipo slama kabisa,
Shule hiyo ya msingi MSINUNE
ipo katika manddhali mbaya amabyo kwa mwanafunzi si pazuri kwa
kusomea.Ukianza na nyumba za walimu ni chache,mbovu na hazifai kuishi
kwa binaadam wa kawaida,vilevile sehemu za kujisaidia ni mbovu
kupindukia kiasi cha kwamba wanafunzi na walimu wamekua wakijisaidia nje
ya vyoo vyao hali ambayo si nzuri ki afya
Pia katika suala la nyumba za walimu zimekua ni chache kiasi ambacho wamekua wakichangia chumba kimoja wanalala walimu watatu.
Haiku ishia hapo tu,pia aliomba kuungana na wa Tanzania kushirikiana na Team nzima ya XXL kwa kushirikiana kuchangia ili kuinua shule ya msingii MSINUNE kwa kiwango chochotekufikia mpaka July Vyoo na nyumba za walimu ziwe zime nyanyuka.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment