
Msanii wa
bongo fleva anaekuja kwa kasi katika soko la muziki wa bongo,mwenye hit
song ya masebene,ameachia video yake mpya aliyo mshirikisha Barnaba
nyimbo inaitwa Mama
Utengenezwaji wa video hii ulianza mwaka jana mwishoni na kuiachia wiki hii ikiwa imetengenezwa na director Hanscana
Tazama Hapa chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment