Diamond Platnumz akifanya yake.
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa amebebwa na wacheza shoo wake siku ya mwaka mpya Kigali, Rwanda.
Nyomi ya kufa mtu waliofika siku ya shoo hiyo.
Akifanya yake na wacheza shoo wake.
Mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady' mpenzi mpya wa Diamond Platnumz akiwa katika pozi.
Muonekano wa siku ya shoo hiyo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment