Hii ni Video ya kichapo kizito toka kwa polisi walichopewa wanachama wa CUF wakati wa maandamano yalioyoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim Lipumba.
Tani 15,000 za korosho za magendo zakamatwa
Maafisa wa Ivory Coast wameripoti kuzuia tani 15,000 za korosho za magendo zilizokuwa zikipangwa kusafirishwa Ghana kinyume cha sheria.
Mnamo
tarehe 4 mwezi Machi, maafisa wa Ivory Coast pia waliwahi kukamata tani
10,00…Read More
NewVideo :Linah - Malkia Wa Nguvu
Moja ya nyimbo ambazo zinafanya poa sana kwa sasa ni huu ambao mpaka umekuwa msemo mtaani, Malkia wa nguvu.Wimbo umefanywa na Linnah akiwa na Khadija Nito. Video ya wimbo huwo imetoka, itazame hapa
…Read More
Jua lanaswa na mwezi
Raia Indonesia wameshuhudia jua likizibwa kikamilifu na mwezi.
Indonesia ndio nchi pekee iliyoshuhudia tukio hilo kote duniani.
Hoteli zilizopo katika maeneo mazuri ya kushuhudiwa jua likina…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment