Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za 16 za Vodafone
Ghana Music (Awards), VGMA 2015. Majina ya wasanii watakaowania tuzo
hizo yametajwa kwenye hoteli ya La Palm Royal Beach Hotel jijini Accra,
jana Ijumaa, February 27. Diamond ametajwa kuwania kipengele cha msanii
bora wa Afrika (African Artiste of The Year). Wasanii wengine
watakaowania kipengele hicho ni Soma zaidihapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment