Nahodha wa timu ya Liverpool Steven
Gerrard amemshtumu mshambuliaji wa timu hiyo Mario Balotelli kwa
kutokuwa na heshima baada ya kuchukua mkwaju wa penalti wa bao la
ushindi dhidi ya Besikitas badala ya nahodha Jordan Henderson.
Balotelli
alifunga penalti hiyo siku ya ahamisi katika mechi ya ligi ya Yuropa
iliochezwa katika uwanja wa Anfield ili kupata ushindi wa 1-0.Hatua hiyo inajiri baada ya Balotelli kubishana na nahodha Henderson na mshambuliaji Daniel Sturridge kuhusu ni nani angefaa kupiga mkwaju huo.
Gerrard alisema:Henderson ndio nahodha na Balotelli alimuonyesha madharau.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment