
Huyu
kijana kushoto amekamatwa kwa kosa la kutapeli watu mbalimbali kwa
kutumia majina ya wafanyakazi wa Clouds akiwemo Ruge Mutahaba na
kujifanya yeye ndio kiongozi wa idara ya muziki ya Clouds fm na
kuwatapeli wasanii chipukizi kwa kuomba rushwa ya hela ili nyimbo zao
zichezwe redioni
0 MAONI YAKO:
Post a Comment