Nay wa Mitego na Mtoto wakeNay wa Mitego Amesikitishwa na Kauli ya Mzazi mwenzake SIWEMA ambaye wamezaa naye mtoto kwa kusema kuwa mtoto huyo si wa kwake bali ni wa aliyekuwa Mpenzi wake wa zamani Obasanjo...Japo Wahenga wanasema Kitanda hakizai Haramu Nay wa Mitego amehabari kuwa yupo Radhi kupima DNA ili kubaini kama mtoto ni wake ama la?
Maofisa wa Chadema wazuiliwa kisafiri, Polisi wasema
-
BRENDA Rupia Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema),...
9 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment