Wasanii wawili walio kuwa kwenye head line kwa kipindi cha muda mrefu hapa namzungumzia staa wa muziki wa Bongo fleva Ommy Dimpoz pamoja na Staa wa movie za kibongo Wema Sepetu hatimaye siri za picha zao zilizozua maswali mengi juu ya uhusiano wao sasa mambo hadharani.
Ommy dimpoz amesema picha hizo ambazo watu walikuwa wanazioni ni baadhi ya vipande vya wimbo wake mpya alioutoa leo na ameomba mashabiki kumpa sapoti ya kutosha klwa wimbo wake huo alioufanya kwa hadhi ya kimataifa chini ya mtayrishaji toka Afrika Kusini Godfather
0 MAONI YAKO:
Post a Comment