Baada ya kimya cha muda mrefu, hatimaye msanii wa kizazi kipya toka mkoani Morogoro, mwana mama Dayna Nyange, leo hii ameachia rasmi wimbo wake mpya aliofanya na Nay wa Mitego wa Nitulize
Wimbo umefanyika chini ya Producer MR. T katika studio za Free Nation Record
Sikiliza hapa chini huu wimbo na dawnload sasa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment