Centano akikuletea wimbo wake mpya uitwao nikupe nini
Artist:-Centano
Song Name:- Nikupe Nini
Country;- Tanzania
Genre;- RNB
Hi, My name is Centano Boy! I need your support on this joint!
Please share this track in your site and social Network!
Download hapa
…Read More
Video/ Magufuli akiagiza ML 200 za sherehe zipelekwe Muhimbili
Nitaomba mnisamehe sana, inawezekana sherehe ya leo isiwe nzuri kama mlivyozoea, hakuna bia… inawezekana kama kuna chupa za wine ni chache, mengi ni mani na soda.”Nilipoambiwa kwamba zimechangwa shilingi milioni 250 kwa a…Read More
Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika 2015
Wagombea watano wa tuzo ya BBC kwa mwanasoka bora wa mwaka 2015 wametangazwa kwenye hafla maalum iliyoandaliwa mjini Johannesburg, Afrika Kusini.
Mshindi wa tuzo la mwaka 2014 Yacine Brahimi, yupo kwenye orodha hiyo pamo…Read More
Waziri mashuhuri Kenya ajiuzulu
Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.
Bi Anne Waiguru, ambaye amekuwa Waziri wa Mip…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment