Mkali wa muziki wa bongo fleva Tanzania Dayna Nyange amekuja na muonekano huu mpya kwa sasa. Dayna ambaye anafanya poa sana na wimbo wake Nitulize aliomshirikisha Nay wa Mitego
Pozi No 2
amentumia picha hizi ambazo amesema hili ni pozi jipya ambalo amewataka mashabiki wake na wadau kwa jumla wachague picha moja itakayoendana na jina la wimbo huo mpya wa Nitulize, na pozi hilo kuitwa jina la nitulize poz
Viongozi wa CHADEMA watiwa mbaroni Dodoma
JESHI
la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia viongozi watatu wa Baraza la
Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) Taifa, kwa
uchochezi na kuikashifu serikali.
Pia viongozi hao wanadaiwa kuvaa ful…Read More
DJ D Ommy achaguliwa kuwani tuzo USA
Dj
D-Ommy wa CLOUDS FM ametajwa kuwania tuzo za AFRICAN
ENTERTAINMENT AWARDS USA kwenye kipengele cha BEST DJ zitakazotolewa
Nchini Marekani.Naomba tumpigie Kura kupitia link ktk bio yake ya
@djdommy kwenye Ins…Read More
Kutoka kwenye show ya Belle 9 na watu wake Morogoro
July 7,2016 mwimbaji staa wa
bongofleva toka mkoani Morogoro Belle 9 alitumia time yake kwenye stage usiku wa EID Pili
baada ya kuwakutanisha mastaa wa Bongofleva kwenye jukwaa moja uwanja wa
Jamhuri Morogoro.
Show h…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment