May 11, 2015

Msh J 
 Mwanamuziki wa Hip Hop toka mkoani Morogoro, Mash J anayetamba na ngoma yake ya Mperampera aliyoimba na Stamina, yupo mbioni kufanya kazi na Fid q. Akizungumza ndani ya XXL ya Clouds Fm, Mash J amesema ni ndotoyake kufanya kazi na Fid Q na kama angempata angeshkuru sana, wakati huohuo mtangazaji Hamis Mandi B. DOZEN aliahdi kumfanyia hivyo ili kutimiza ndoto zake.
 Skiliza Mahojiano hayo hapa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE