
Zari na Diamond wakiingia ukumbini

Diamond akitoa burudani

Maliki wa mipasho nchini bi Hadija Kopa naye alikuwepo

Swahiba mkubwa wa Diamond Shetta akifanya yake

Diamond na Nay

Mashabiki nao hawakujutia kabisa





Kwa upande wa usalama nako palikuwa hapatoshi
Boss wa Clouds, Ruge Mutahaba wako na Eric Omondi, comedian toka Kenya.
Awa jamaa walikuja na Bango kabisa, soma kilichoandikwa
1- Tiketi ziliisha mapema kabisa watu bila kujali gharama walijitokeza mapema kununua tiketi
2- Show hii ilweza kushuhudiwa na dunia nzima kwa mtindo wa kununua code kisha ukafwatilia show kama ulikuwa ukumbini
3-Show hii ni kwa mara ya kwanza imefanyika Tanzania
Hivyo ndivyo mambo yalivyokwenda ndani ya Mlimani City usiku wa jana kuamkia leo katika Zari All white party 2015 ikiwa ni kwa mara ya kwanza kufanyika ndani ya ardhi ya JK.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment