
Mperampera ni moja ya ngoma zinazofanya vizuri sana kwa sasa katika uwannja wa Hip Hop kwa Tanzania. Hii ngoma imefanywa na msanii chipukizi toka mkoani Morogoro anaitwa Mash J akimshirikisha mkali mwingine Stamina pia toka Moro. Audio imefanyika kwanza Records chini ya Vennt Skillz na Video ikafanyika kwetu Studio chini ya Msafiri
0 MAONI YAKO:
Post a Comment