Hii ni maalum kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, unaotarajiwa kufanyika october mwka huu.Kupitia blog hii
tumeamua kuwaletea matukio mbalimbali yanayoendana na chaguzi mbalimbali
zilizopita na mitazamo ya wananchi juu ya uchaguzi wa mwka huu. Leo hii
tumewaletea hotuba ya Mwalim J.K Nyerere ya mwka 1995 aliyoitoa katika
mkutano mkuu wa CCM.Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani
ya CCM, watakwenda kuyatafuta nje ya CCM. Haya ni maneno ya Mwalim
Nyerere katika Hotuba hii.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment