
Tayari
nimekabidhiwa tuzo yangu leo niliyotunukiwa na CHUO KIKUU CHA DAR ES
SALAAM, hii ni heshima ya kipekee na kiukweli imenipa nguvu sana hii
tuzo, nina deni la kujituma zaidi kwenye kazi. Thanks watu wangu yani...
#AchieversAwards2015 #UDSM2015 @achievers_awards

0 MAONI YAKO:
Post a Comment