Msanii wa taarabu na CEO wa bendi ya Jahazi Modern Taarab Mzee Yusuf
anategemea kutangaza nia kesho Jumamosi 13 Juni 2015, Huu ukiwa ni mwaka
wa uchaguzi, tumeshuhudia makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi
wakitangaza nia hadi kufikia 28. Swali ni kweli anatangaza nia au stunt
tu? Anaweza akawa ana wimbo unaitwa Natangaza nia, hii itakuwa ni surprise kama ni ukweli anatangaza nia kweli au ni wimbo. Kiingilio ni shilingi 8,000/=TSHS, kuanzia saa 2 usiku katika viwanja wa burudani Dar Live Mbagala Zakhem jijini Dar es salaam.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment