Picha mpya ya video inayo shootiwa South na Yamoto Bady ndio hii.
Kwa sasa Yamoto Band wapo njiani wanarejea home Tz, wakiwa tayari
wamemaliza kichupa chao. Hivyo ukiwa kama shabiki waukweli basi tambua
kuwa kuanzia sasa muda wowote unaweza ukakiona kichupa hicho #ChezaKwaMadoido
June 17, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment