Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa haya. mwishoni mwa wikimiliyopita wasanii na wapenzi wenye vituko bongo, Nuh Mziwanda na Shilole, zilisambaa taarifa za kumwagana na kuvunjika kwa penzi lao. Huku kila mmoja akiandika maneno ya kejeli kwa mwenzi wake. Baadhi ya wadau walisema wanatafuta kiki wanataka kutoa wimbo, wengine walipinga lakini walimpa pongezi Nuh. Hatma ya hayo yote ni leo hii wameachia wimbo wao unaoitwa Ganda la ndizi ambayo ni miungoni mwa maneno aliyoyatumia shishi katika ujumbe wa kibuti kwa Nuh.
Haya sikiliza huo wimbo hapo chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment